Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Sifa za mama Ridhaa katika riwaya ya chozi la heri

 (2m 36s)
4365 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Sifa za mama Ridhaa
-Alikuwa mzazi wake Ridhaa wa kike, na mmoja kati ya wake wa mzee Mwimo.
-Ni mwenye busara. Anamfunza Ridhaa namna ya kuishi na wenzake. Uk11,"Mama Ridhaa alisikiliza malalamishi ya mwanawe akamwambia, 'Mwanangu, ni vyema kujifunza kuishi na wenzako, bila kujali tofauti za ukoo na nasaba. Elimu inapaswa kuwa chombo cha kueneza amani na upendo wala sio fujo na chuki "
-Mlezi-anamzaa na kumvyeleza Ridhaa


|