Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Maswali na majibu ya tumbo lisiloshiba na hadithi zingine

Fafanua jinsi mwandishi wa ‘Tumbo Lisiloshiba’ alivyotumia kinaya kufanikisha maudhui yake (alama 10)

 (3m 53s)
5079 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Fafanua jinsi mwandishi wa ‘Tumbo Lisiloshiba’ alivyotumia kinaya kufanikisha maudhui yake (alama 10)
-Jeshi la polisi linawalinda askari wa baraza wanapowabomolea raia makazi yao badala ya kuwalinda raia waliokuwa wakidhulumiwa na askari wa baraza.
-Ni kinaya kwamba wanasheria wanaofaa kutetea haki kwa wanyonge hawafanyi hivyo
.Hii ndio sababu Mzee Mago anawahimiza raia kuwatafuta wanasheria waaminifu.
-Ni kinaya viongozi kuliendesha taifa bila kuwashirikisha raia kwa sababu ya kuwa maskini.
-Viongozi wanajenga jijini hadi inakosekana nafasi ya mtu kuvuta pumzi.
-Ni kinaya viongozi kuwapoka raia ardhi bila kuwazia hatima yao.
-Ni kinaya serikali kuwahujumu raia badala ya kuwalinda.Imeweka vitego na vikwazo vya sheria ili kuwazuia kutetea mali zao.
-Ni kinaya jitu kuingia mkahawani na kula chakula chote;chakula ambacho kingeliwa na watu kadhaa.


|