Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Maswali na majibu ya tumbo lisiloshiba na hadithi zingine

Huku ukirejelea diwani ya Tumbo lisiloshiba fafanua matatizo yanayokumba vijana katika jamii

 (5m 34s)
7194 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Huku ukirejelea diwani ya Tumbo lisiloshiba fafanua matatizo yanayokumba vijana katika jamii
i.Umaskini. Hadithi ya ‘Mapenzi ya kifaurongo’ Dennis Machora anakunywa uji bila sukari
-Hana pesa/maskini
-Ni zikeni papa hapa Otii anaishi kwenye kibanda kilichotalizwa kwa udongo na kuezekwa kwa makuti
ii.Dawa za kulevya. Hadithi ‘Mkubwa’ vijana wanakufa kwa sababu ya kutumia dawa za kulevya.
iii.Kubakwa ‘mame Bakari’ Sara anabakwa akitoka kuhudhuria masomo ya ziada usiku.
iv.Kuavya mimba ‘Shogake dada ana ndevu’ Safia anaavya mimba, inayosababisha kifo chake.
v.Kuvunjika kwa Uchumba ‘Mapenzi ya kifaurongo
Peninah anavunja uchumba wake na Dennis Machora kwa sababu ya Dennis kuwa maskini.
vi.Ukosefu wa ajira ‘Mapenzi ya Kifaurongo’ Dennis amekamilisha masomo ya chuo kikuu lakini ametafuta ajira kwa miaka mitatu bila mafanikio.
vii Magonjwa – Nizikeni papa hapa’ Otii anaambukizwa virusi vya ukimwi Rehema Wanjiru
viii)Tamaa ya Mapenzi “Nizikeni papa hapa” Otii ana tamaa ya mapenzi.
ix) Kulangua dawa za kulevya – ‘Hadithi ya Mkubwa’ N
x) Mimba za mapema ‘hadithi ya Mame Bakari’
-Mhusika Sarah
‘Shogake dada ana ndevu’ Safia


|