-Kwa kuzingatia hadithi zozote tano eleza uozo wa jamii kama unavyojitokeza katika tumbo lisiloshiba (Diwani)
Answer Text: Kwa kuzingatia hadithi zozote tano eleza uozo wa jamii kama unavyojitokeza katika tumbo lisiloshiba (Diwani)Uozo wa jamiia) Tumbo lisiloshiba- Dhuluma na unyanyashajiArdhi ya wanamadoporokomoka inatwaliwa na wenye nguvu.- Tamaa ya wenye mabavu- Ulafi wa jitu pale mgahawani pa Mago- Ukosefu wa haki kwa ukandamizaji wa wanyonge- Ukatili wa viongozi serikalinib) Mapenzi ya kifaurongo- Ubinafsi wa Penina- Ubaguzi wa kitabaka- Utabaka baina ya matajiri na maskini.c) Shogake dada ana ndevu- Unafiki safia na kimwana, vijana wa shule ya msingi.- Uongo wa safia na kimwana- Utepetevu katika malezi ya Bw. Masudi na Bi. Hamida.- Uavyaji mimba.d) Masharti ya kisasa.- Migogoro katika ndoa baina ya Dadi na Kidawa.- Kuingilia ndoa kwa pupa-Dadi na Kidawa.- Kushukiana katika ndoa-Dadi anamshuku Kidawa kuhusiana na mwalimu mkuu.e) Nizikeni papa hapa- Oti kuingiliana na wanjiru katika mapenzi ya kiholela- Usamabaji wa ukimwi- Kupuuza / kubeza maamuzi ya mtu katika maisha.- Jamii kusahau mashujaa wa baada ya kuugua – Otii alisahaulika.Maisha kupotea kutokana na ajali – uendeshaji mbaya.