Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Maswali na majibu ya tumbo lisiloshiba na hadithi zingine

“Kesho panapo majaaliwa. Kesho kama sote tutaamka…….. kama tutafungua milango ya nyumba zetu zinazosimamia juu ya ardhi hii adhimu…”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili
b) Taja sifa nne za msemaji
c) Taja mbinu zozote mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili

 (3m 0s)
3068 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
“Kesho panapo majaaliwa. Kesho kama sote tutaamka…….. kama tutafungua milango ya nyumba zetu zinazosimamia juu ya ardhi hii adhimu…”
a Eleza muktadha wa dondoo hili
-msemaji – Jitu
-musemewa – Mago
-walikuwa katika mkahawa mshenzi baada ya Jitu Kula chakula chote na kulipia.
-Alikuwa amepanga kuja kuinyakua ardhi yao
b Taja sifa nne za msemaji
-Fisadi
-katili
-Jeuri
-Mnafiki.
c) Taja mbinu zozote mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili
i) Uradidi – Kesho, kesho…..
ii) Uhuishi / Tashihisi,Nyumba zinazosimama
iii) Mdokeza : kama sote leuteamka…….kama.

|