Ukengeushi huzorotesha maendeleo ya kijamii. Jadili kauli hii ukirejelea hadithi ya ‘Mkubwa’.
Answer Text: Ukengeushi huzorotesha maendeleo ya kijamii. Jadili kauli hii ukirejelea hadithi ya ‘Mkubwa’.Ukengeushi ni hali ya kuacha njia nyofu na kufuata njia potovu.-Viongozi wa kisiasa wamekengeuka kuwa kuwaua vijana ambao ni nguvi ya taifa.-Vijana wamepotoka Kimaadili- Mkubwa aliona vijana wanalaliana njehdharani, walipotambua wameonekana walikuwa tayari kuua watu kwa kisu au bisibisi.-Vijana wamegeuka kuwa wezi na wanyanganyi watu mali zao.-Vingozi wa serikali wanafanya biashara ya ‘unga’bila kujali athari kwa vijana na taifa.-Viongozi wanajitajirisha kuwa kuuza unga, wanaingiza bidhaa hii bandarini bila kukaguliwa.-Unga unasababisha vijana wengi kuwa wanyonge na wasio na akili timamu. K.m mkubwa anamkuta kijana aliyetoa denda mdomoni.-Vijana ni wapyoro – wanatumia lugha chafu ajabu.-Tamaa ya utajiri inamfanya mkubwa kuingilia biashara ya kuuza dawa za kulevya.-Mkubwa anauza shamba lake la urithi na kupata milioni kumi ambazo anatumia kuhonga wapiga kura.-Mkubwa anatoa rushwa kuwa kiongozi wa askariwaliokamata mzigo wake na pia mkumbukwa aachiliwe.