Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika diwani ya, ‘Tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine.’ Jadili maudhui ya nafasi ya wazazi katika malezi.
Answer Text: Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika diwani ya, ‘Tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine.’ Jadili maudhui ya nafasi ya wazazi katika malezi.-Tulipokutana Tena-Wazazi wa Bogoa - ni walezi wema ingawa ni maskini hawataki. Bogoa alelewe na wazazi wengineMapenzi kifaurongo:-wazazi wa Penina Bw & Bi Kitane) wamewajibika katika kumlea Penina. Wanampa fedha za kutosha kila wiki-licha ya kuwa maskini wazazi wa Dennis wanajizatiti sana kumpeleka chuoni hadi chuo kikuu.Shoga yake Dada ana ndevu:-wazazi wake Safia na Lulua wanawapenda sana wanao-wanawapeleka wanao shuleni na kuwapa safia nafasi ya kusoma pale nyumbani-wazazi hawa pia wana mapuuza. Wanamwamini mwanao kupita kiasiMame Bakari:-babake Sara ni mkali sana, Sara anapobakwa anaogopa kumwambia kuwa ana ujauzito-baadaye anabadilika wa kuwa mpole, anamfariji-mamake Sara ni dhaifu, hawezi kumsaidia SaraNdoto ya Mashaka:-wazazi wa Samueli wanajinyima ili kuwasomesha watoto wao-Babake Samueli aliuza ng’ombe wengi ili kumsomesha Samueli-mamake Samueli anatumiwa kuonyesha mapenzi ya mzazi ni ya kudumu-babake Samueli anatumiwa kuonyesha kukata tamaa / kutamauka