Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Mapenzi Ya Kifaurongo (Kenna Wasike)

Umuhimu wa Dkt Mabonga katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo

 (3m 43s)
2160 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa Dkt Mabonga
-Ametumiwa kudhihirisha ugumu wa masomo ya chuo kikuu na namna walimu wanavyohitaji wanafunzi watafute wao wenyewe.
-Anatumika kama kielelezo cha usomi kwani amesoma hadi uzamifu.
-Anatumika kuwasuta walimu na wahadhiri wasiokuwa na usaidizi kwa wanafunzi wao.
-Anatumika kuwatia shime wasomi kutafiti mambo vyema kwani anaifahamu fasihi vyema.


|