Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Mapenzi Ya Kifaurongo (Kenna Wasike)

Dkt Mabonga na sifa zake katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo

 (4m 28s)
4476 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Dkt Mabonga
- Mhadhiri wa Chuo kikuu.
-Anaifahamu mada yake ya fasihi vyema.
-Anakatisha wanafunzi tamaa kwa majibu yake ya mkato na makavu.
Sifa za Dkt Mabonga
-Mkweli: hasiti kusema yale yaliyomo moyoni hata kama yataleta maudhi.
-Mwenye madaha-Anawapiga vijembe wanafunzi wanaohitaji ujuzi wa kifasihi k.v Dennis.
-Ingawaje ni msomi anashindwa kuwafafanulia wanafunzi wake dhana ngumu zinazowatatiza.
-Ni katili-Hapendi mwanafunzi kuzua swali linaloleta kicheko ukumbini pa mihadhara.


|