Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Mapenzi Ya Kifaurongo (Kenna Wasike)

Dennis katika hadithi Mapenzi ya Kifaurongo

 (3m 24s)
3453 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Dennis katika hadithi “Mapenzi ya Kifaurongo”
-Ametumiwa kuangazia ugumu wa kupata ajira hata baada ya kupata shahada.
- Aidha,Dennis ametumika kudhihirisha kuwa si rahisi kijana wa kiume mchochole kupendwa na msichana wa tabaka la juu na mahusiano yao kudumu.
-Anatumika kuwafumbua macho vijana kukoma kuwaamini wenzao wanaojitia kuwapenda kwa mema waliyo nayo kisha mwishowe kutupwa na kuachwa.


|