Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Mapenzi Ya Kifaurongo (Kenna Wasike)

Umuhimu wa Penina katika hadithi Mapenzi ya Kifaurongo

 (2m 55s)
2434 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa Penina katika hadithi “Mapenzi ya Kifaurongo”
-Anadhihirisha kuwa sio rahisi msichana wa tabaka la juu kuolewa na mvulna mchochole.
-Anawapofua macho wavulana kuona hatari ya kuhusiana na wasichana matajiri.
-Anatupa mfano bora wa jinsi watu wanavyopaswa kuwapenda maskini.


|