Janadume bakaji na sifa zake katika hadithi Mame Bakari
Answer Text: Janadume bakaji katika hadithi “Mame Bakari”-Ni jitu lisilo na utu linalovizia wasichana usiku na kuwabaka.-Ni katili: anambamiza Sara ardhini hadi akazimia na kumwacha hivyo akiwa nusu uchi.-Lenye tamaa na uchu: baada ya kumbaka Sara aliendelea na tabia hiyo mbaya hadiakafumaniwa na kupigwa vibaya hadi akafa.-Ni lenye usiri-liliweza kujificha baada ya kumbaka Sara hadi pale lilipofumaniwa baada ya kumbaka msichana tofauti.