Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Mame Bakari (Mohammed Khelef Ghassany)

Mhusika Sarina na sifa zake katika hadithi Mame Bakari

 (4m 53s)
2208 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Sarina katika hadithi “Mame Bakari”
Huyu ni mwendani wa Sara. Anapojulishwa mkasa wa Sara, anatia shaka kidogo halafu anampa kila aina za msaada.
Sifa
-Ni mwaminifu: alitimiza ahadi yao wawili ya kusaidiana yeye na shogake
Sara hata tatizo liwe ni lipi.Alitimiza ahadi yao wawili ya kusaidia Sara wakati alipobakwa kuweka siri.
-Ni mcheshi: anamwonya Sara awe mwangalifu asibakwe tena.
-Mkarimu: alikuwa tayari kumpeleka Sara hadi kwao shambani akajifungulie huko na awezavyo.
-Mwenye hila na maarifa: anapanga mpango kuwa Sara avae jilbabu nyumbani na shuleni ili kuficha mimba.


|