Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Mame Bakari (Mohammed Khelef Ghassany)

Umuhimu wa mhusika Sara katika hadithi Mame Bakari

 (3m 33s)
4088 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa mhusika Sara katika hadithi “Mame Bakari”
-Ametumiwa na mwandishi kudhihirisha uovu wa ubakaji na athari zake mbaya. Sara ni kielelezo cha vijana ambao hutumia busara zao katika kupambana na majanga ya maisha.
-Anawakilisha umuhimu wa ucha mungu kwa vijana kwani anafaa kukitunza kitoto chake kisicho na hatia.
-Anasawiri umuhimu wa kuwa msiri. Anayaweka masuala ya ubakaji wake kuwa siri kwake.


|