Umuhimu wa Sarina katika hadithi Mame Bakari
Answer Text: Umuhimu wa Sarina katika hadithi “Mame Bakari”-Ni kielelezo cha marafiki wema ambao hukirumu wandani wao wakiwa katika shida.-Anawasilisha umuhimu wa vijana kujizatiti katika kutatua matatizo yake.-Anawasilisha umuhimu wa kuweka siri za wenzetu na kukejeli umbea vikali.