Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Maswali na Majibu Katika Riwaya ya Chozi La Heri

Fafanua maudhui ya nafasi ya vijana katika jamii (alama 20).

 (4m 20s)
23197 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Fafanua maudhui ya nafasi ya vijana katika jamii (alama 20).
Jibu.
- Ni wasomi- Vijana kama Tila, Umu na Mwaliko walikuwa wenye bidii masomoni.
- Walanguzi wa dawa za kulevya — Dick alikuwa akilangua za kulevya kwa muda wa miaka kumi. Umu na Dick walikuwa na bidii katika masomo yao.
- Wajinga- Vijana wengine wa kike walikubali kukeketwa. Wengine waliiaga dunia na wengine kulazwa zahanatini.
- Wapenda fujo – Vijana ndio waliotumiwa na wanasiasa kuendeleza uovu wa mauaji na kuiharibu mali ya wenzao.
- Katili- Kuna vijana waliowabaka mabinti zake Kaizari na kumuumiza mke wake.
- Wasio na huruma- Vijana wengine walikuwa wakiwaua wenzao bila huruma.
- Wasio na msimomo dhabiti- Vijana wengine walipotoshwa na wanasiasa bila kuwaza na kuwazua


|