Mhusika Shirandula katika hadithi fupi ya Kidege-Robert Oduori
Answer Text: Mhusika Shirandula katika hadithi fupi ya “Kidege”-Robert Oduori-Ni rafiki yake Mose-Yeye amezaliwa kijijini-Ndiye alimwambia Mose kuwa kjijini kuna samaki wakubwa kuliko wa mjini-Alitega kitendawili kilichotaka kujua yupi bora kati ya mjenga choo na mjenga kasri Umuhimu wake-Anarejelea vijana wenye weledi wa kueleza jambo kwa mafumbo.-Ameonesha kuwa na uelewajui wa kuwapo rasilimali nyingi kijijini kuliko mjini.