Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Kidege (Robert Oduori)

Muundo wa hadithi ya Kidege-Robert Oduori

 (2m 38s)
2358 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Muundo wa hadithi ya “Kidege”-Robert Oduori
-Hadithi hii imetumia muundo wa moja kwa moja.
-Kimeanza kisa cha Mose kutembelea bustani na kuwaona Joy na Achesa wakivinjari mahaba yao bustanini.
-Kisha kikafuata kisa cha urafiki wa Mose, kidege na visamaki. na mapana ambayo yamefanikiwa kuiondosha midege hiyo vamizi.
-Muundo huu wa moja kwa moja huitwa muundo sahili.


|