Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Masharti ya Kisasa (Alifa Chokocho)

Umuhimu wa Kidawa katika hadithi ya Masharti ya Kisasa

 (4m 4s)
2797 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa Kidawa katika hadithi ya “Masharti ya Kisasa”
-Kidawa ni kielelezo cha mwanamke wa kisasa ambaye hataki kushikilia mila za kizamani. Ni vyema mtu atoe msimamo wake maishani ili ujulikane bayana.
-Kidawa anawakilisha umuhimu wa msimamo dhabiti baina ya wanandoa kwa kushikilia msimamo wa masharti yake.
-Anawapa wanawake wenzake umuhimu wa kuitunza ndoa kwa kujiuzulu kazini Dadi anapomshuku.
-Kidawa anawasiri umuhimu wa vijana wa matabaka tofauti kushirikiana katika ndoa hata palipo na tofauti ya mapato, elimu n.k.


|