Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Masharti ya Kisasa (Alifa Chokocho)

Ufaafu wa anwani Masharti ya Kisasa-Alifa Chokocho

 (3m 55s)
5932 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Ufaafu wa anwani “Masharti ya Kisasa”-Alifa Chokocho
-Anwani ya hadithi hii ni "Masharti ya Kisasa".
-Anwani hii inasawiri maudhui yaliyomo ndani yake.
- Mambo yote yanayomkuta Dadi yanatokana na yeye kutoelewa ni nini mke wake anachomaanisha anaposema "masharti ya kisasa".
-Hatimaye anajaa wivu, wivu unaopelekea tatizo ambalo yumkini lingeweza kutwaa maisha yake.
Maisha haya ni kama vile Kidawa asaidiwe kazi za nyumbani, apewe fursa ya kazi za nje na yeye Dadi amsaidie Kidawa kupika.


|