Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Masharti ya Kisasa (Alifa Chokocho)

Umuhimu wa Dadi katika hadithi Masharti ya Kisasa

 (3m 43s)
2519 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa Dadi katika hadithi “Masharti ya Kisasa”
-Anaonyesha kumaliza tofauti ya matabaka kwa kumwoa Kidawa aliyeelimiwa.
-Anawasiri umuhimu wa penzi la dhati kwa wana wake.
-Anaoyesha tuhuma zinazoambatana na kutominiana kwa wanandoa.


|