Umuhimu wa Bi Hamida katika hadithi Shogake Dada ana Ndevu
Answer Text: Umuhimu wa Bi Hamida katika hadithi “Shogake Dada ana Ndevu”-Anatumika kuwakashifu wazazi wambea.-Anawakilisha mapenzi ya dhati kwa mwanawe Lulua na kutupa mfano wa ulezi bora.-Anawakilisha ubora wa waume kuwasiliana na wake katika malezi ya wana.