Dhamira ya mwandishi katika hadithi fupi Shogake Dada ana Ndevu
Answer Text: Dhamira ya mwandishi katika hadithi fupi “Shogake Dada ana Ndevu”-Alifa Chokocho-Mwandishi amedhamiria kuwakumbusha wazazi kuongeza umakini katika malezi ya watoto. -Wasiwaamini watoto wao asilimia mia moja. Pia, anawasuta watoto wanafiki kwa kutumia Safia.-Inawakanya wanajamii dhidi ya kuua.-Anakejeli wana wa wenzao badala ya kuwasaidia.-Inadhamiria kuwapa wazazi ushauri kushirikiana katika malezi.