Mbinu katika hadithi fupi ya Shogake Dada ana Ndevu-Alifa Chokocho.
Answer Text: Mbinu katika hadithi fupi ya “Shogake Dada ana Ndevu”-Alifa Chokocho.(i) Methali-Kuzaa mwana si pato, pato ni kumvyeleza-Lisemwapo lipo, kama halipo linakuja-Siri ya kata iulize mtungi(ii) Tashbihi…bintiye aliye safi kama umande….shikamoo inayotoka nyuma ya buibui kama kata ya maji mtungini.(iii) Mdokezo-mbinu ya kudokeza shughuli iliyopita.Kidugu kidogo cha Safia kilisimulia kisa shogaye kuwa na ndevu kwa kudokeza kidogo kidogo. Juzi... Juzi... Ivyo(iv) Taharuki-mbinu ya kuwaachia wasomaji maswali akiliniBaba Safia anapoelezwa juu ya kifo cha mwanae alishikwa na mshangao mkubwa. Hatujui vile alivyoathirika. Aidha hatujui vile mama yake Safia alivyochukulia jambo hilo.