Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Shogake dada ana ndevu (Alifa Chokocho)

Sifa za Bi.Hamida katika hadithi “Shogake Dada ana ndevu”

 (5m 20s)
3122 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Bi. Hamida.
-Mama yake Safia.
-Ameolewa na ana watoto wawili, Safia na Lulua.
-Anawapenda watoto wake na kuwapatia mahitaji yote.
Sifa za Bi.Hamida katika hadithi “Shogake Dada ana ndevu”
-Ni mchunguzi: aling'amua hali ya Safia mara tu alipoanza kubadilika na kumdadisi.
-Anamdadisi Lulua ili kutosheleza mashaka yake kwa Safia.
-Mtimiza wajibu: anahakikisha kwamba Safia anapata mandhari mazuri yenye utulivu kwa ajili ya kudurusu.
-Ni mbea: anamsengenya Mkadi, mtoto wa Habiba Chechei, kuwa ana tabia mbaya. Anakiri kwamba anashiriki kwenye vikao vya kusengenyana akiwa na wanawake wenzake kila siku


|