Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Tumbo Lisiloshiba (Said A. Mohammed)

Wahusika wa makundi katika Tumbo Lisiloshiba

 (3m 28s)
8786 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Wahusika wa makundi katika “Tumbo Lisiloshiba”
Askari wa baraza la mji
-Hawa walibomoa vibanda vya wananchi wa Madongoporomoka.
-Ni watiifu wa amri za wakubwa-hawakujali vilio na malalamiko ya wanyonge.
Kikosi cha polisi:
-Ni watiifu-wanafuata amri za viongozi wakuu serikalini.
-Kinalinda askari wa baraza wakati wa kubomoa vibanda madongoporopoka.


|