Dhamira ya mwandishi katika Tumbo Lisiloshiba
Answer Text: Dhamira ya mwandishi katika “Tumbo Lisiloshiba”-Mwandishi amedhamiria kuonyesha namna tabaka la juu linavyokandamiza haki za wanyonge. Tabaka hili linajilimbikizia mali na kutwaa rasilimali za wanyonge bila kushiba.-Hata hivyo S.A Mohamed anachora uwezekano wa kuwepo kwa matumaini kwa wanyonge licha ya kwamba uongozi wa taifa unazidi kuwakandamiza.-Hadithi hii ni njia ya kuionelea kucha jamii hasa kuliko na uongozi dhalimu.