Umuhimu wa Mashaka katika hadithi Ndoto ya Mashaka-Ali Abdullah Ali
Answer Text: Umuhimu wa Mashaka katika hadithi-“Ndoto ya Mashaka”-Ali Abdullah Ali-Kwa kupitia kwa mhusika huyu, msimulizi anadhihirisha kuwa ni vigumu kumaliza duru ya ufukara. Mzazi akiwa fukara ni rahisi mtoto awe fukara vivyo hivyo.Anadhihirisha kuwa mapenzi hayachagui, yanaweza kuota Ukata una misingi mipana inayotokana na mfumo wa kimataifa.-Anaonyesha umuhimu wa wanyonge kuja pamoja kusuluhisha matatizo yanayowakaba kina yakhe duniani hii na hapa petu Afrika.