Wahusika Sasa na Mbura katika tumbo lisiloshiba
Answer Text: Wahusika Sasa na Mbura-Hawa ni mawaziri wa wizara moja. Ni Wizara ya mipango na mipangilio.-Wanafanya kazi ngumu zaidi na wizara hii ndio muhimu zaidi-Wanafanya kazi ngumu zaidi na wizara hii ndio muhimu zaidi kuliko zote.Sifa-Wao hujituma ili kuhudumia taifa lao. Wanatengwa mbali na hawatambuliwi na taifa.-Ni walafi: wanapopata fursa ya kupata mali, wanaitumia-Wana mapuuza: ingawa wanafahamu uzembe uliopo na unyakuaji wa mali ya umma, hawachukui hatua mwafaka.