Umuhimu wa mzee Mambo katika hadithi Shibe Inatumaliza
Answer Text: Umuhimu wa mzee Mambo katika hadithi “Shibe Inatumaliza”-Mzee Mambo ni kielelezo Cha watu wanaopiga ubwete na kufuja mali ya umma kwa kulipwa mishahara bila kazi.-Anatumika kuisuta serikali dhalimu isiyojali haki za wananchi wake.-Ni kielelezo cha watu wa tabaka la juu ambao hawana uzalendo hata kidogo kuifilisi serikali na hawajali.-Ni kielelezo cha viongozi wanaofuja mali ya vizazi vijavyo na kuwaacha bila chochote.