Dhamira ya mwandishi katika Shibe Inatumaliza
Answer Text: Dhamira ya mwandishi katika “Shibe Inatumaliza”-Mwandishi amedhamiria kubainisha namna viongozi serikali wanavyolewa madaraka na kufanya wanavyotaka. Mzee Mambo ni waziri asiye na wizara lakini anakwapua mshahara mnono na anatumia mali za serikali kwa namna anavyotaka yeye.-Anadhamiria kuonyesha ufujaji wa mali ya umma kwa kuwafaa watu binafsi.-Anadhamiria kuonyesha jinsi watu wanavyoketi kutama mali ya taifa kufujwa na viongozi dhalimu.