Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Form 4 Paper 1 Kiswahili End of Term 2 Exams 2021
Class: Form 4
Subject: Kiswahili
Level: High School
Exam Category: Form 4 End Term 2 Exams
Document Type: Pdf
Views: 1251
Downloads: 22
Exam Summary
JINA: .........................................................................NAMBA YAKO :...................................
SHULE ……………....................................................TAREHE :...............................................
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA PILI 2021
102/1
KISWAHILI KARATASI YA 1 MUDA: SAA 1¾ KIDATO CHA NNE
MUDA: SAA 1¾
MAAGIZO:
a) Andika insha mbili.
b) Insha ya kwanza ni lazima.
c) Chagua insha nyingine moja kutoka kwa tatu zilizobaki.
d) Kila insha isipungue maneno 400.
e) Kila insha ina alama 20.
KWA MATUMIZI YA MTAHINI PEKEE
Karatasi hii inakurasa 2 zilizochapishwa. Wagombea wanapaswa kuangalia ili kuhakikisha kuwa kurasa zote zimechapishwa kama ilivyoonyeshwa na kwamba hakuna maswali yanayokosekana
1. Andika dayalojia baina ya mtu na rafiki yake ambao ndiyo kwanza wakutane toka walipoachana katika shule ya msingi.
2. Andika insha juu ya methali “Mti mkuu ukigwa wana wa nyuni huyumba”
3. Kuboresha maisha katika magereza ni kukuza uhalifu. Jadili
4. Niliskia jina langu likitajwa. Mmoja akaniita nikatoka nje. Nilisikia msongamano wa watu nyimbo za ushindi zikapanda juu!. Endeleza kisa hiki.
More Examination Papers