Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Form 3 Paper 1 Kiswahili End of Term 2 Exams 2021
Class: Form 3
Subject: Kiswahili
Level: High School
Exam Category: Grade 3 End Term 2 Exams
Document Type: Pdf
Views: 995
Downloads: 4
Exam Summary
MITIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA PILI,2021
KIDATO CHA TATU
KISWAHILI
KARATASI YA 1 (102/1)
INSHA
Jina………………………………………Nambari ya usajili……………….…Darasa………..
Sahihi ya Mtahiniwa……………………………Tarehe……………………………………….
MUDA: SAA 1¾
MAAGIZO:
a) Andika insha mbili.
b) Insha ya kwanza ni lazima.
c) Chagua insha nyingine moja kutoka kwa tatu zilizobaki.
d) Kila insha isipungue maneno 400.
e) Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii inakurasa 2 zilizochapishwa. Wagombea wanapaswa kuangalia ili kuhakikisha kuwa kurasa zote zimechapishwa kama ilivyoonyeshwa na kwamba hakuna maswali yanayokosekana
MASWALI
1. Umepata habari kwamba binamu wako anayeishi Ujerumani ameanza kutumia mihadarati. Mwandikie barua ukimweleza kuhusu athari hasi za tabia hiyo.
2. Ufisadi umekuwa tatizo sugu nchini. Jadili vyanzo vyake na upendekeze suluhu kwa uovu huo.
3. Pang’okapo jino pana pengo.
4. Tunga kisa kitakacho anza kwa maneno yafuatayo; Buum! Mlipuko huo ulitapakaza vifuzi kote.Wingu jeusi la moshi lilitanda..............
HUU NDIO UKURASA WA MWISHO WA KUCHAPISHWA
More Examination Papers