Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Grade 1 Kiswahili Kusoma End of Term 2 Examination 2021
Class: Grade 4
Subject: Kusoma Activities
Level: Primary School
Exam Category: Grade 4 End Term 2 Exams
Document Type: Pdf
Views: 894
Downloads: 11
Exam Summary
COMPETENCY BASED CURRICULUM
GRADE 4 TERM 2 2021
KISWAHILI KUSOMA ACTIVITIES
KISWAHILI SECT. A ACTIVITIES ASSESSMENT
SEHEMU I: KUSIKILIZA NA LUZUNGUMZA
Mwalimu atakuuliza maswali kisha utajibu
Mwalimu anamkua mwanafunzi
Je, umewahi uhudhuria sherehe yeyote tangu kuzaliwa? (2)
Mwanfunzi ajibu
Ni mambo yapi uliyaona katika sherehe? (8)
Mwanafunzi ajibu
Je, wakati huu wa janga la Korona tunafaa kuhudhuria sherehe yeyote? (2)
Mwanafunzi ajibu
Taja mambo matatu ya kuzingatia ili kuzuia ugonjwa wa korona? (3)
SEHEMU II: KUSOMA (35)
Soma taarifa ifuatayo kwa ufasaha
Matumizi ya tarakilishi katika mafunzo imepewa kipao mbele katika mtalaa huu wa CBC. Matumizi ya teknolojia mpya inarahisisha sana mafunzo darasani na kusaidia kurahihisha mambo mengi. Wanafunzi shuleni mwetu hutumia vipakatalishi katika kusakura mambo mengi kwenye tovuti kama ilivyoratibiwa katika mafunzo yao. Wanafunzi hufurahia sana kusoma kupitia njia hii ya kisasa na pia huwapa motisha katika masomo yao ya kila siku.
More Examination Papers