Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Grade 3 Kiswahili End of Term 2 Examination 2021
Class: Grade 3
Subject: Kiswahili Activities
Level: Primary School
Exam Category: Grade 3 End Term 2 Exams
Document Type: Pdf
Views: 1177
Downloads: 6
Exam Summary
COMPETENCY BASED CURRICULUM
GRADE 3 - TERM 2 2021 – KISWAHILI ACTIVITIES
IMLA
1. ___________________
2. ___________________
3. ___________________
4. ___________________
5. ___________________
Andika majina ya picha haya
Kanusha sentesi hizi
11. Atieno amekula ndizi
___________________________
12. Mama amekuja na gari
___________________________
13. Jirani amepata jail
___________________________
14. Watoto wanacheza mpira
___________________________
15. Mwalimu anafundisha hesabu
___________________________
Andika kinyume
16. Mama - ___________
17. Chini - ___________
18. Lia - ___________
19. Enda - ___________
20. Kimbia - ___________
Soma hadithi kisha ujibu maswahi
Siku moja silas alitoka nyumbani asubui na babaka kuenda kuenda kulima shambani yao , walilima kwa muuda ya saa na kuchoka. Silas aliacha babake shambani akilima kurudi nyumba kula kitu kwani alikuwa anahisi njaa, alipofika nyumbani alipata mlango imefungwa kwani mamake alikuja akafunga mlango
21. Kwa nini silas alirudi nyumbani?
22. Silas alirudi nyumba akapata mlango imefungwa na nani?
23. Silas aliacha babake shambani akifanya nini?
24. Silas na babake walienda shambani saa ngapi?
25. Silas alikuwa analima shamba ya nani?
More Examination Papers