Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Kiswahili Activities Grade 2 End of Term 2 Examination 2020
Class: Grade 2
Subject: Kiswahili Activities
Level: Primary School
Exam Category: Grade 2 End Term 2 Exams
Document Type: Pdf
Views: 1565
Downloads: 18
Exam Summary
COMPETENCY BASED CURRICULUM
GRADE 2 - TERM 2 2021 – KISWAHILI ACTIVITIES
IMLA
1. _______
2. _______
3. ______
4. _______
5. _______
Tumia ‘hili’ au ‘ haya’ kujaza mapengo.
6. Macho
7. Maembe
8. Jiwe
9. Ua
Jaza pengo kwa kutumia ‘ vizuri’’ au vizuri
10. Mtoto anafaa kulelewa____
11. Mwalimu anafaa afundishe _____
12. Gari letu ni _____
Piga mstari herufi kubwa kwenye sentesi zifuatazo
13. Siku ya Jumapili sisi hupumzika
14. Mlima wa Kilimanjaro unavutia
15. Shule yetu inaitwa Kayole
16. Mjomba wangu anaishi Kabuku.
Tumia kitenzi sahihi kujaza pengo
17. Mwalimu ali _______kiswahili ( ruka, fundisha )
18. Ami ana _____shambani ( lima, osha)
19. Binamu ali______kucha (kata,kula)
Jaza herufi sahihi kwenye mapengo
20. M_tib_bu
21. H_k_
Tumia hao,au huyu, kujaza mapengo kwa usahihi
22. Kijana ____ni mwerevu
23. Wanafunzi ______walichelewa
24. Mtoto ______analia
Tunga sentensi ukitumia maneno haya
25. Gari __________________________
26. Shangazi___________________________
27. Haki _______________________________
28. Mavazi ______________________________
Soma hadithi kisha ujibu maswali
Paka na Panya
Juma alipenda kucheza baada ya kula. Asubuhi moja mama yake alikuwa akifanya kazi nje ya nyumba. Muda mfupi baadaye panya alipita mbio. Paka alikuwa anamfukuza panya huyo. Juma aliogopa panya sana. Aliingiwa na woga akapanda juu ya sofa nakuanza kulia.
Maswali
29. Ni nani alipenda kucheza ?_________
30. Ni nani alikuwa akifanya kazi?_______
31. Juma alifanya nini kwasababu ya woga? ______________
32. Kwa nini panya alipita mbio?__________
More Examination Papers