Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Grade 1 Kiswahili End of Term 2 Examination 2021
Class: Grade 1
Subject: Kiswahili Activities
Level: Primary School
Exam Category: Grade 1 End Term 2 Exams
Document Type: Pdf
Views: 1126
Downloads: 9
Exam Summary
COMPETENCY BASED CURRICULUM
GRADE 1 - TERM 2 2021 – KISWAHILI ACTIVITIES
NAME: SCHOOL
IMLA
1. ___________
2. ____________
3. ____________
4. ____________
5. ____________
Jibu maswali yafuatayo
6. Watu ______ walifika ( wengi, tatu )
7. Mwalimu _______ alikufa (yetu, wetu )
8. Sisi tunaenda _______jumapili ( kanisa, jela )
9. Mama _______ugali (anapika, anakanyaga )
10. Dactari amenidunga_______( chuma, shindano)
Maliza sentensi ukitumia hawa,huyu
11. Kijana ________anakula ndizi (hawa,huyu)
12. Watoto_________ni wachoyo(huyu,wale)
13. Mama _________ anafua nguo(sisi. Yake)
14. Baba _________ni mkulima(sisi, yangu)
15. Wasichana _________ walichapwa (wale,huyu)
Chora picha hizi
16. Kikombe
17. Msichana
18. Mvulana
19. Runinga
20. Kiti
Andika majina ya wanyama hawa
More Examination Papers