Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Kiswahili Paper 3 Form 4 End of Term 1 Examination 2020
Class: Form 4
Subject: Kiswahili
Level: High School
Exam Category: Form 4 End Term 1 Exams
Document Type: Pdf
Views: 2290
Downloads: 59
Exam Summary
Kiswahili Paper 3 Form 4 End of Term 1 Examination 2020
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions
SEHEMU A: (FASIHI SIMULIZI)
1. (a) Watu watatu walikuwa wakivuka mto. Mmoja alivuka pasi kukanyaga maji wala kuyaona. Wa pili aliyaona maji akayavuka bila kuyakanyaga. Wa watatu aliyaona akayakanyaga huku akiyavuka.
(i) Bainisha kipera cha makala hayo. (alama 1)
(ii) Eleza umuhimu wa kipera ulichotaja(i) hapo juu. (alama 4)
(b) Fafanua muundo wa mawaidha yanayotolewa katika miktadha rasmi. (alama 3)
(c) Fafanua sifa za mawaidha. (alama 12)
More Examination Papers