Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Kiswahili Paper 1 Form 3 End of Term 1 Examination 2020
Class: Form 3
Subject: Kiswahili
Level: High School
Exam Category: Form 3 End Term 1 Exams
Document Type: Pdf
Views: 2093
Downloads: 57
Exam Summary
Kiswahili Paper 1 Form 3 End of Term 1 Examination 2020
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions
Maswali
1. LAZIMA
Wewe ni raia katika nchi ya Tomoko. Mwandikie barua mhariri wa gazeti la Mzalendo ukitoa maoni yako jinsi serikali yako inavyoweza kupunguza umaskini nchini.
2. “Utandawazi una athari mbaya katika maisha ya vijana.” Jadili.
3. Andika insha inayodhihirisha maana ya “Mchelea mwana kulia hulia yeye”
4. Kamilisha insha yako kwa maneno :..............sitaisahau siku hiyo kwani sijawahi kufedheheka kama nilivyoaibika siku hiyo
More Examination Papers