Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Kiswahili Form 2 End of Term 1 Examination 2020

Class: Form 2

Subject: Kiswahili

Level: High School

Exam Category: Form 2 End Term 1 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 2434     Downloads: 93

Exam Summary


Kiswahili Form 2 End of Term 1 Examination 2020
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions


SWALI LA INSHA ALA 20)
1. Wewe Kama mwanafunzi umepata nafasi ya Kumhoji Mkurugenzi wa habari nchini kuhusu umuhimu wa magezeti kwa wanafunzi wa shule za Sekondari. Andika mahojiano hayo (ala 20)

CHEMA HAKIDUMU
Chema hakidumu, kingapendekeza,
Saa ikitimu, kitakuteleza
Ukawa na hamu, kukingojeleza,
Huwa ni vigumu, kamwe hutaweza

Chema sikiimbi, kwamba nakitweza
Japo mara tumbi, kinshaniliza,
Na japo siombi, kipate n’ongeza,
Mtu haniambi, pa kujikimbiza

Chema mara ngapi, kinniondoka,
Mwanangu yu wapi? Hakukaa mwaka,

 

More Examination Papers