Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Kiswahili Form 4 Opener Term 3 Examination 2019
Class: Form 4
Subject: Kiswahili
Level: High School
Exam Category: Form 4 Opener Exams
Document Type: Pdf
Views: 967
Downloads: 15
Exam Summary
Kiswahili Form 4 Opener Term 3 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions
SEHEMU YA A: FASIHI SIMULIZI (ALAMA 10)
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Ikiwa kweli wewe ni mkazamwanangu,
Nami ndiye nilompa uhai mwana unoringia,
Anokufanya upite ukinitemea mate,
Chakula kuninyima, wajukuu kunikataza ushirika,
Miungu nawaone chozi langu, wasikie kilio changu,
Mizimu nawaone uchungu wangu,
Radhi zao wasiwahi kukupa,
Laana wakumiminie,
Uje kulizwa mara mia na wanao,
Usiwahi kufurahia hata siku moja pato lao,
Watalokupa likuletee simanzi badala ya furaha,
Wakazawanao wasikuuguze katika utu uzima wako!
Maswali
a. Je, hiki ni kipera kipi? (al. 2)
b. Eleza sifa tano za kipera hiki. (al. 5)
c. Eleza umuhimu wa kipera hiki cha fasihi. (al.3)
More Examination Papers