Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Kiswahili Form 2 Opener Term 3 Examination 2019
Class: Form 2
Subject: Kiswahili
Level: High School
Exam Category: Form 2 Opener Exams
Document Type: Pdf
Views: 1760
Downloads: 45
Exam Summary
Kiswahili Form 2 Opener Term 3 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions
SEHEMU YA A: INSHA (ALAMA 20)
Ndugu yako ameamua kuasi ukapera. Andika ratiba itakayotumiwa siku ya arusi yake.
SEHEMU YA B: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA (ALAMA 40)
A. Taja sauti nne ambazo ni nazali. (al.2)
B. Eleza tofauti kati ya sauti /dh/ na /th/. (al 2)
C. Ainisha viambishi katika kitenzi (al. 2)
Wameridhiana
D. Eleza maana mbili za sentensi ifuatayo: (al. 2)
Alimpigia mpira
More Examination Papers