Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Kiswahili Class 5 End of Term 3 Examination 2019
Class: Class 5
Subject: Kiswahili
Level: Primary School
Exam Category: Class 5 End Term 3 Exams
Document Type: Pdf
Views: 1464
Downloads: 13
Exam Summary
Kiswahili Class 5 End of Term 3 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions
Jaza Mapengo Kwa neno ambalo linalofaa
Walikuwapo wavulana ___1__ waliopendana kama chanda na pete. Mvulana ___2___ aliitwa Sembo na wa ___3___ Tumbolile. Walikuwa wakiishi ___4___ kijiji ___5___ karibu sana na mto ___6___. Siku moja jioni, walipita kwenye uwanja ___7___ kujengea choo ___8___.Waliona miti ___9___ iliyokaribia kukauka. Wakachukua maji wakaimwagia miti ___10___ isikauke. Hao ni vijana wazuri wanaopenda mazingira.
More Examination Papers