Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Kiswahili Class 4 End of Term 3 Examination 2019

Class: Class 4

Subject: Kiswahili

Level: Primary School

Exam Category: Class 4 End Term 3 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 1355     Downloads: 0

Exam Summary


Kiswahili Class 4 End of Term 3 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions


Chagua jibu sahihi kujaliza nafasi 1-15
Mtoto 1 alikuwa amenitembelea hakuongea neno 2 . Alikaa kimya kama 3 ya mtungi. Nami wakati huo 4 nilijaribu mbinu zote angalau aniambie ikiwa alitaka 5 au la. Mvulana huyo alionekana 6 na 7 huzuni kemkem. “Ungetaka chakula 8 ? 9 ama ugali?” Nikamwuliza. Naye akajibu, “Sitakula ugali 10 nitakula vibanzi.” 11 kupoteza muda 12 vibanzi vilivyokuwa 13 na mjakazi, kisha nikammiminia maziwa 14 gilasini ili ayanywe 15 ya kula.

 

More Examination Papers