Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Kiswahili Form 4 Opener Term 1 Examination 2019
Class: Form 4
Subject: Kiswahili
Level: High School
Exam Category: Form 4 Opener Exams
Document Type: Pdf
Views: 1328
Downloads: 10
Exam Summary
Kiswahili Form 4 Opener Term 1 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions
1. MATUMIZI YA LUGHA (ALAMA 40)
a. Kutokana na kigezo cha jinsi hewa inavyozuiliwa taja aina mbili za konsonanti. (alama 2)
b. Kwa kutoa mifano mwafaka eleza tofauti baina ya dhana zifuatazo. (alama 4)
i. Sauti ghuna
ii. Sauti sighuna
c. Mofimu ni nini? (alama 1)
i. Bainisha mofimu katika neno (alama 3)
Atamnywea
d. Eleza matumizi ya kiambishi –KU- katika sentensi ifuatayo. (alama 2)
Kucheza huku kulitufurahisha ingawa mgeni hakufurahi.
e. Tunga sentensi mbili kubainisha matumizi ya alama ya kikomo. (alama 2)
f. Tunga sentensi ya neno moja yenye viungovifuatavyo. (alama 3)
i. Kiambishi cha nafsi ya kwanza umoja
ii. Njeo
iii. Yambwa tendwa
iv. Mzizi wa neno
v. Kauli ya kufanyiza
vi. Kiishio
More Examination Papers