Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Kiswahili Paper 3 Form 3 End of Term 3 Examination 2019
Class: Form 3
Subject: Kiswahili
Level: High School
Exam Category: Form 3 End Term 3 Exams
Document Type: Pdf
Views: 2660
Downloads: 21
Exam Summary
Kiswahili Paper 3 Form 3 End of Term 3 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions
SEHEMU YA A: TAMTHILIA YA KIGOGO
1. “Na mwamba ngoma huvuta wapi?”
a. Eleza muktadha wa dondoo hili (ala. 4)
b. Tambua tamathali mbili za sauti zilizotumika katika muktadha huo (ala. 2)
c. Fafanua sifa za msemewa wa maneno (ala. 6)
d. Thibitisha ukweli kuwa kila mwamba ngoma huvuta kwake ukirejelea Tamthilia nzima ya Kigogo (ala. 8)
SEHEMU YA B: RIWAYA YA CHOZI LA HERI
2. “…wanahofia kusema wasije wakavikata viganja vinavyowalisha…’’
a. Eleza muktadha wa dondoo hili (ala. 4)
b. Taja maudhui yanayojitokeza katika dondoo hili na ueleze (ala. 2)
c. Kwa kutoa hoja kumi, eleza namna maudhui uliyotaja hapo juu (2b) yanavyojitokeza katika riwaya (ala.10)
d. Eleza sifa nne za msemaji (ala. 4)
AU
3. Eleza jinsi mwandishi alivyofanikisha mbinu ya kisengere nyuma. (al.20)
More Examination Papers