Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Kiswahili Paper 3 Form 4 End of Term 2 Examination 2019

Class: Form 4

Subject: Kiswahili

Level: High School

Exam Category: Form 4 End Term 2 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 1601     Downloads: 13

Exam Summary


Kiswahili Paper 3 Form 4 End of Term 2 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions


SEHEMU YA A: SWALI LA LAZIMA.
RIWAYA: CHOZI LA HERI

1. “……kama mataifa hayakushinda majabali miaka kumi iliyopita itakuwa huyu mwanagenzi ambaye hata mgwisho sisi ndio tulimfunza.”
a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4)
b) Taja na ueleze mbinu mbili za lugha zinazijitokekeza katika dondoo hili. (alama 2)
c) Kwa kurejelea riwaya nzima eleza changamoto zinazoikumba jinsia ya “mwanagenzi” (alama 14)

SEHEMU YA B
TAMTHLIA: KIGOGO
2. “Kitabu si jalada, fungua ndani usome mambo. Kitanda usichokilalia kunguni mwake huwajui.”
i. Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4)
ii. Kwa kurejelea tamthlia ya KIGOGO, Thibitisha ukweli wa dondoo hili. (alama 14)
Taja tamathali za usemi zilizotumika katika dondoo hili. (alama 2)

 

More Examination Papers