Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Kiswahili Paper 1 Form 4 End of Term 2 Examination 2019
Class: Form 4
Subject: Kiswahili
Level: High School
Exam Category: Form 4 End Term 2 Exams
Document Type: Pdf
Views: 1340
Downloads: 10
Exam Summary
Kiswahili Paper 1 Form 4 End of Term 2 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions
MASWALI
1. Wewe kama katibu wa kamati maalum, iliyoteuliwa na Waziri wa Uchumi, andika kumbukumbu za mkutano uliojadili jinsi ya kuimarisha nchi ya Kenya kiuchumi. (ALAMA 20)
2. Teknohama imeleta madhara mengi kuliko faida. Jadili (ALAMA 20)
3. Mtaka yote kwa pupa hukosa yote. (ALAMA 20)
4. Andika insha itakyomalizikia kwa maneno haya: (Alama 20)
… nilishusha pumzi,nikashukuru masaibu yangu yalikuwa yamefika kikomo na maisha ya siku zijazo yalijaa matumaini.
More Examination Papers