Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Grade 3 Kiswahili Activities End of Term 3 Examinations 2022
Class: Grade 3
Subject: Kiswahili Activities
Level: Primary School
Exam Category: Grade 3 End Term 3 Exams
Document Type: Pdf
Views: 1059
Downloads: 14
Exam Summary
TUTORKE END TERM TRIAL EXAMINATIONS
COMPETENCY BASED CURRICULUM
GRADE 3 SHUGHULI ZA KISWAHILI ACTIVITIES
TERM 3 2022
NAME………………………………………………SCHOOL……………………………………………………….
(Alama 50)
CODE 001/21 TAREHE………………..
JINA…………………………………………………………………………….DARASA………………………….
1. Sehemu ya A:Imla
Andika maneno mwalimu atakayotaja
1. ___________________
2. ___________________
3. ___________________
4. ___________________
5. ___________________
2. Sehemu ya B:Tunga sentensi kwa kutumia maneno yafuatazo:
6. watu
______________________
7. mwanamke
_____________________
8. dereva
_______________
9. mkulima
_________________
10. mwalimu
3. Sehemu ya C: Andika Kinyume
11. panda _______________
12. tema _______________
13. nyanya _______________
14. usiku _______________
15. lia _______________
4. Sehemu ya D: kanusha
16. Analia _______________
17. walitoroka _______________
18. amekuja _______________
19. waliandika______________
20. unapika _______________
5. Sehemu ya E:Tumia ‘enyewe’ kujaza pengo kwa mfano:
Mtoto mwenyewe ni mgonjwa
21. Mwanafunzi___________alicheza mpira,
22. Kikombe __________kimeanguka
23. Tunda ________________ni tamu.
24. Darasa______________limeoshwa
25. Kiatu_______________kimepotea
6. Andika sentensi zifuatazo kwa umoja
26. Wanafunzi walinunua kalamu.
______________
27. Maganda yalitupwa
______________
28. Wageni waliketi
_______________
7. Ambatanisha jina na picha
8. Tumia vimilikishi ifaavyo kujaza pengo
32. Kiatu________________kimeha-ribika (changu, yangu)
33. Mwalimu________________
ananipenda. (yangu, wangu)
34. Chumba____________ ni kizuri. (yetu, chetu)
35. Gari___________limeegeshwa
(letu, yetu)
9. Sehemu ya F:Andika jina la picha hii
36.
__________
10. Soma kifungu kisa ujibu maswali
(alama 14)
Shule yetu inaitwa Osewe.Ina madarasa manane na wanafunzi mia tano hamsini.Walimu wetu ni tisa.Walimu hawa hufanya kazi ya ualimu,yaani kufundisha wanafunzi.
Mwalimu mkuu ni Bwana Hamisi Mwaibale. Yeye ndiye msimamizi mkuu wa shule. Bi Maria ni naibu wa mwalimu mkuu. Yeye humsaidia mwalimu mkuu kusimamia shule haswa katika upande wa nidhamu.
Bi Maria pia ni mwalimu wa darasa letu.Yeye hapendi wanafunzi wanaorandaranda ovyo darasani.
Kiranja wa darasa letu anaitwa Kamau Gitau.Yeye ni mwanafunzi mwenye bidii za mchwa na hufanya vyema darasani.Siku moja,wakati wa mvua hakuweza kubeba vitabu kumpelekea mwalimu.
37. Shule ya msimulizi inaitwaje?______________
38. Jinala mwalimu mkuu ni
________________
39. Naibu wa mwalimu mkuu anaitwa nani?_____________
40. Shule hii ina madarasa mangapi? ________________
41. Kiranja wa darasa la mwandishi ni ______________
42. Kuna wanafunzi wangapi katika shule hii?____________
43. ____________________ndiye anashughulikia mambo ya nidhamu.
More Examination Papers