Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Form 3 Kiswahili Paper 1 End of Term 3 Examination 2021

Class: Form 3

Subject: Kiswahili

Level: High School

Exam Category: Form 3 End Term 3 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 1445     Downloads: 34

Exam Summary


TUTORKE EXAMS

JINA ………………………………………………………………………………………………………………….
NAMBARI……………………………

102/1
KISWAHILI KIDATO CHA TATU
INSHA
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA TATU 2022

MUDA: SAA 1¾
MAAGIZO
a. Andika insha mbili.Insha ya kwanza ni ya lazima.
b. Chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia
c. Kila insha isipungue maneno 400
d. Kila insha ina alama 20


1. Wewe ni katibu wa kamati iliyoteuliwa na rais kuchunguza madhara ya pombe haramu na mbinu za kuangamiza pombe hiyo. Andika ripoti rasmi.

2. Vijana wanakumbwa na changamoto si haba.
Thibitisha

3. Andika insha itakayothibitisha ukweli wa methali
‘’Mwiba wa kujichoma hauambiwi pole.

4. Andika kisa kitakachokamilika kwa maneno yafuatayo…………… waliwasili saa tatu baadaye.Uharibifu wa mali na maisha ulikuwa umeshatendeka

 

More Examination Papers